Extended Search
Hadi nchi 2 za Ujerumani zilipoungana , kila moja kati ya nchi hizo mbili za Ujerumani, ilikuwa na Jeshi lake: Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, kulikuwa Jeshi la Bundeswehr lilokuwa na askari 585.000. »
Majimbo mapya ya iliyokuwa Ujerumani Mashariki yakarabatiwa upya. »
Hali ya akinamama wa mashariki na magharibi ya Ujerumani miaka 20 baada ya ukuta kuporomoka »
Kanisa la Nikolaikirche -Leipzig-miaka 20 iliopita. »
Chipukizi kati ya umri 15-17 wana kasoro hiyo.Miaka 20 tangu kuporomoka kwa ukuta wa Berlin, wanafunzi wa Ujerumani, wana kasoro kubwa katika kuielewa historia ya iliokuwa Ujerumani Mashariki (GDR). »
Katika msururu wetu wa ripoti kuhusu miaka 20 tangu kuporomoka kwa ukuta wa Berlin na kuungana tena kwa nchi mbili za Ujerumani,leo tunaikodolea macho Idara ya Usalama ya iliokuwa Ujerumani Mashariki (STASI): »
Ukumbusho wa hali ya maisha ilivyokuwa katika ile iliokuwa (GDR)-Jamhuri ya Kidemokrasi ya Ujerumani au Ujerumani Mashariki, ni mada ya kutatanisha. »
Ukumbusho wa hali ya maisha ilivyokuwa katika ile iliokuwa (GDR)-Jamhuri ya Kidemokrasi ya Ujerumani au Ujerumani Mashariki, ni mada ya kutatanisha.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Ujerumani wahanga wa udikteta wamepewa fursa ya kujua jinsi walivyokuwa wanapelelezwa. »
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Ujerumani wahanga wa udikteta wamepewa fursa ya kujua jinsi walivyokuwa wanapelelezwa.
DW-TV EUROPE live
Journal
We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.
If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.